Mmiliki wa klabu ya Leicester City afariki katika ajali ya ndege

Mmiliki wa klabu ya Leicester City afariki katika ajali ya ndege

Mmiliki wa klabu ya Leicester City FC,Vichai Srivaddhanaprabha amethibitishwa kuwa miongoni mwa watu waliofariki katika ajali ya helikopta karibu na uwanja wa King power.