Haba na Haba: Uhusiano wa wakimbizi na wazawa Tanzania unawezaje kuboreshwa?

Haba na Haba: Uhusiano wa wakimbizi na wazawa Tanzania unawezaje kuboreshwa?

Katika Haba na Haba wiki hii, tunazungumzia suala la wakimbizi. Tanzania inahifadhi wakimbizi zaidi ya robo milioni kutoka Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika kambi za nduta, Nyarugusu na Mtendeli.

Uhusiano wao na wenyeji wakati mwingine umekuwa wa mashaka.

Je, wenyeji wanawezaje kuishi pamoja na wakimbizi?