Tunguja zinatumika kuwafanya wanafunzi kuzingatia masomo yao

Tunguja zinatumika kuwafanya wanafunzi kuzingatia masomo yao

Kusini mwa Zanzibar nchini Tanzania, kuna utaratibu usio wa kawaida ambapo baadhi ya wanafunzi wa madrasa wamekuwa wanawekewa vijiwe vidogo au hata tunguja (nyanya pori) kwa lengo la kuwafanya wanafunzi hao kuzingatia masomo yao