Je unaweza kunywa kileo kilicho na panya aliyefarika anae elea?

Je unaweza kunywa kileo kilicho na panya aliyefarika anae elea?

Jumba moja la makumbusho limeanzisha aina ya chakula kisicho cha kawaida. Miongoni mwa vyakula hivyo ni pamoja na jibini iliyo na mabuu na mvinyo kilicho na panya aliyekufa. Je, ni chakula kipi cha machukizo ushawai kula? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewSwahili.