Utafiti: Kuwa mnene au mwembamba kupita kiasi kunapunguza maisha yako kwa miaka 4

Utafiti: Kuwa mnene au mwembamba kupita kiasi kunapunguza maisha yako kwa miaka 4

Utafiti uliofanywa na Lancent Journal unaonyesha mtu kuwa na uzito wa mwili mkubwa au mdogo kupita kiasi unaweza kupunguza maisha yake kwa miaka minne. Ripoti hii ilio kubwa zaidi ilijumuisha zaidi ya watu milioni mbili. Je, waweza kupunguza uzito wako ndiposa uishi maisha marefu Zaidi? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Faceboook, bbcnewsSwahili.