Magugu maji katika ziwa Victoria yageuzwa nishati mbadala

Magugu maji katika ziwa Victoria yageuzwa nishati mbadala

Magugu maji haya kwa muda mrefu yamekuwa tatizo katika Ziwa Victoria na ni tishio kubwa kwa biashara ya uvuvi na maisha kwa jumla. Lakini sasa tatizo hili limegeuzwa suluhu. Magugu maji yamegunduliwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuzalisha nishati.

Mpiga Picha: Hassan Lali