Kifahamu kifaa kipya kinachowawezesha waliopooza kutembea

Kifahamu kifaa kipya kinachowawezesha waliopooza kutembea

Wanaume watatu waliopooza waliambiwa kuwa watatumia kiti cha magurudumu 'wheelchair' katika maisha yao yote lakini sasa wanaweza kutembea tena na shukrani zinawaendea madaktari kutoka Uswizi.

Kifaa maalum cha umeme kinazungushwa kwenye mgongo ili kusaidia kuonyesha ishara kutoka kwenye ubongo mpaka kwenye miguu. Na kifaa hicho husaidia neva kutoathiri ukuaji wa uti wa mgongo.