Bangi yaaza kuunzwa madukani nchini Uingereza

Bangi yaaza kuunzwa madukani nchini Uingereza

Bidhaa zakimatibabu zinazotokana na bangi zinaweza sasa kupatikana na kuuzwa kwa baadhi ya wagonjwa kwa mara ya kwanza nchini Uingereza. Je, unadhani kuwa dawa zilizotengenezwa kutoka kwa bangi zinafaa kuuziwa wagonjwa madukani? Tupe maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Faceboo, bbcnewsSwahili.