Je uwanja huu mkubwa Istanbul unalingana vipi na viwanja vingine vya maajabu?

Uwanja wa ndege mkubwa kimataifa umefunguliwa Istanbul. Lakini je unalingana vipi na viwanja vingine vuya ajabu duniani?