Dkt Chowksey: Daktari wa Kenya anayewasaidia watu wenye ualbino kuona

Dkt Chowksey: Daktari wa Kenya anayewasaidia watu wenye ualbino kuona

Watoto wengi wanaoishi na Ualbino huishia katika shule za watu wasioona, kutokana na kukosa huduma za macho. Ndilo lililomshinikiza Dkt Prahba Chowksey kuanzisha wakfu nchini Kenya kutoa huduma ya bure ya macho kwa watoto wanaoishi na Ualbino nchini.

Mpiga Picha: Anthony Irungu