Kwanini imekuwa vigumu kuidhinisha sheria ya thuluthi mbili katika bunge Kenya?
Huwezi kusikiliza tena

Aden Duale: Kwanini utekelezaji wa sheria ya thuluthi mbili umejivuta bungeni Kenya

Mjini London inafanyika warsha ya wajumbe wa kamati za bunge miongoni Mwa mataifa ya Afrika. Miongoni mwa viongozi wanaoshiriki ni Aden Duale kiongozi wa walio wengi bungeni nchini Kenya. Alipotembelea studio zetu za London mwenzetu Zuhura Yunus alizungumza nae.

Mada zinazohusiana