Kuamka alfariji kunaweza kumpunguzia mwanamke athari ya saratani ya matiti
Huwezi kusikiliza tena

Kuamka alfajiri kunaweza kumpunguzia mwanamke hatari ya kupatwa na saratani ya matiti

Wanasayansi wa Uingereza wamegundua kuwa wanawake wanaoamka mapema wana uwezekano wa chini wa kupata saratani ya matiti ikilinganishwa na wanawake wanaoamka kuchelewa.

Mada zinazohusiana