Jinsi ya kujiepusha na habari bandia
Huwezi kusikiliza tena

Jinsi ya kujiepusha na habari bandia

Habari bandia ni kama tofaa. Linaweza kuonekana linavutia dukani, lakini utagundua baadaye kuwa limeoza. Ni sawa na vile habari bandia inaweza kuonekana nzuri, lakini baadaye hugeuka kuwa uongo.