'Ndege walifika wakidhani mwenzao kanaswa'
Huwezi kusikiliza tena

Samuel Ngathe: Mkenya anayeiga sauti za ndege kiasi cha kuwakanganya ndege wenyewe

Mfanyabiashara mmoja nchini Kenya anatumia mbinu ya kipekee, ya kuiga sauti tofauti za wanyama na ndege kama njia ya kutangaza biashara yake.

Samuel Mwanthi Ngathe mwenye umri wa miaka, 55, katika mji wa mabanda wa Huruma jijini Nairobi na uwezo wa kutoa sauti za ndege, paka, kugonga shingo yake na kutoa sauti za sarafu zilizoanguka, kuku na hata noti.

Video: Abdalla Dzungu na Paula Odek, BBC