Mke wa Albert Einstein alikuwa mtu wa aina gani?
Huwezi kusikiliza tena

Wanawake 100 wa BBC: Mke wa Albert Einstein alikuwa mtu wa aina gani?

Mileva Einstein alikuwa mwanafizikia mwenye kipaji adimu kivyake lakini waandishi wa vitabu kuhusu maisha yake wanaamini alizuiwa kung’aa na mumewe Albert Einstein.

Ingawa walifanya kazi kwa pamoja na alitoa mchango mkubwa, hilo halikutambuliwa na hajapewa heshima anayostahiki.

Mada zinazohusiana