Utalii wa vijijini unaweza kuimarishwa vipi Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Haba na Haba: Utalii wa vijijini unaweza kuimarishwa vipi Tanzania?

Kwa mujibu wa Shirika la Utalii Duniani, Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazowavutia watalii zaidi duniani, kwa hifadhi zake na milima yake.

Hata hivyo, wataalamu wanasema kukosa kuangaziwa kwa utalii wa vijijini, kuangazia vivutio vidogo vidogo, hupotezea taifa mapato mengi.

Je, utalii huu unaweza kuimarishwa vipi?

Mada zinazohusiana