Daniel Sturridge matatani kwa uchezaji kamare
Huwezi kusikiliza tena

Nyota wa Liverpool Daniel Sturridge matatani kwa uchezaji wa kamari

Mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge ameiomba FA kumpatiwa wakati zaidi wa kujibu shtaka la kushiriki katika uchezaji kamari. Alishtakiwa wiki iliyopita na alipewa hadi jana kujibu shtaka hilo.

Mada zinazohusiana