Habari kwa picha: 19-25 Novemba, 2018

A boy plays on the glass of a skywalk in Bangkok Haki miliki ya picha Soe Zeya Tun/REUTERS
Image caption Mtoto akicheza juu ya ukuta wa kioo nchini Thailand
Presentational white space
Artist Nick Cave poses underneath suspended objects Haki miliki ya picha Mark Metcalfe/Getty Images
Image caption Msanii Nick Cave, kutoka Australia akiwa katika maonesho ya kazi zake
Presentational white space
A Pakistani Muslim girl takes part in a rally during Eid Milad-un-Nabi Haki miliki ya picha RIZWAN TABASSUM/AFP
Image caption Watoto wa kike kutoka Pakistan wakisheherekea siku kuu ya Maulid
Presentational white space
A baby gorilla being held by its mother Haki miliki ya picha Shamil Zhumatov/REUTERS
Image caption Kira, Sokwe mwenye miaka 23 akiwa amembeba mtoto wake mchanga.
Presentational white space
An employee selects a book from the shelves of the Royal Portuguese Cabinet of Reading in Rio de Janeiro, Brazil Haki miliki ya picha CARL DE SOUZA/AFP
Image caption Mfanyakazi akichukua vitabu vilivyopo katika maktaba ya kifalme iliyopo Brazil tangu , kundi ya wahamiaji Kirendo waliianzisha mwaka 1837 na maktaba hiyo ilifunguliwa kwa umma mwaka 1900.
Presentational white space
A six-year-old migrant boy lies on the floor in front of Mexican riot police Haki miliki ya picha Hannah McKay/REUTERS
Image caption Mtoto wa miaka sita akiwa amejila mbele ya polisi katika maandamano ambayo katika mpaka wa Mexico na Marekani.
Presentational white space
Silhouettes of people standing in a kaleidoscope Haki miliki ya picha TOMS KALNINS/EPA
Presentational white space
Principal of the Royal Ballet, Natalia Osipova, performs outside the Edinburgh International Conference Centre Haki miliki ya picha Jane Barlow/PA
Presentational white space
A man is swarmed by seagulls as he rides a boat Haki miliki ya picha Anushree Fadnavis/REUTERS
Image caption New Delhi, India.
Presentational white space
US President Donald Trump, First Lady Melania Trump and Jeff Sveen participate in the pardoning of the National Thanksgiving Turkey Haki miliki ya picha ERIK S LESSER/EPA

Picha zote zina hakimiliki

Mada zinazohusiana

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii