Tazama kilichogunduliwa kwenye kaburi la kale nchini Misri

Sarcophagi discovered at Luxor site Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Kaburi la kale lagunduliwa Misri

Mambo ya kale ya kaburi linalokisiwa kuwa la zaidi ya miaka 3,500 yamegunduliwa Misri.

Wana akiolojia walioshirikiana na chuo cha Ufaransa cha Strasbourg walifanya ugunduzi huo katika bonde la Assasseef karibu na mjini wa Laxor.

Majeneza mawili ya miili yaligunduliwa.

Pia wana akiolojia hao waligundua karibu vifaa 1,000 vya kale.

Kaburi hilo linaaminiwa kutoka miaka ya 1550 BC na 1300 BC.

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Kaburi la kale lagunduliwa Misri
Haki miliki ya picha EPA

Mada zinazohusiana