Isaac Nyamwamu amekuwa akila mayai na maganda yake kwa miaka minane sasa

Mayai ya kuchemsha ni mlo muruwa ambao unaweza kuliwa wakati wowote wa siku.

Isaac Nyamwamu, mkaazi wa mtaa wa Roysambu viungani mwa jiji la Nairobi, Kenya amevumbua mbinu ya kupata utamu wote kutoka kwenye mayai.

Nyamwamu anakula mayai na maganda yake. Anasema kuwa kwa miaka minane amekuwa akila mayai namna hiyo.

Amezungumza na mwandishi wa BBC Seif Abdalla