Mbunifu wa SpongeBob Stephen Hillenburg amefariki dunia
Huwezi kusikiliza tena

Mbunifu wa kipindi cha vibonzo SpongeBob Stephen Hillenburg amefariki dunia

Mbunifu wa kipindi cha vibonzo vya SpongeBob,Stephen Hillenburg amefariki dunia akiwa na miaka 57. Habari hizo zimetibitishwa na kipindi cha Nickelodeon.

Mada zinazohusiana