Kutana na Elizabeth James Mlimbwende wa ualbino Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Ndoto yake ni kuwa mkufunzi wa walimbwende wenye ualbino

Elizabeth James mshiriki wa shindano la mr na miss Albino Afrika Mashariki. Ndoto yake ni kuwa mkufunzi wa walimbwende hasa wenye ualbino. Mlimbwende huyu kutoka Tanzania anasema licha ya kudhihakiwa na kuitwa majina ya kuvunja moyo hana hofu na uwezo wake katika Sanaa na ulimbwende na ana uwezo wa kutumia vyema talanta yake. Mlimbwende huyu alizungumza na mwanahabari wetu Eagan Salla

Mada zinazohusiana