Papa Francis awataka Makasisi kufuata Imani yao
Huwezi kusikiliza tena

Papa Francis awakemea makasisi waovu

`Wasiwasi` mkubwa umemkumba Papa Francis wa Vatican kuhusiana na ongezeko la matendo ya ulawiti, miongoni mwa makasisi wa kanisa Katoliki. Sasa anawaomba makasisi wake kufuata wito wao wa useja.

Je! Useja unafaa kuwa miongoni mwa masharti kwa makasisi wa kisasa?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com

Mada zinazohusiana