Mwizi wa Yogurt atambuliwa baada ya kupimwa Vinasaba- (DNA)
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke ashtakiwa kwa wizi wa Yogurt kutoka kwa mwenzake wanayeishi naye

Mwanamke mmoja ameshtakiwa kwa wizi nchini Taiwan baada ya kuiba kinywaji cha Yogurt kutoka kwa mwenzake wanayeishi naye chumba kimoja. Ushahidi umepatikana baada ya kufanywa kwa uchunguzi wa vinasaba.

Mada zinazohusiana