Mtoto wa kwanza kuzaliwa kwa kutumia mfuko wa uzazi wa mwanamke aliyekufa
Huwezi kusikiliza tena

Mfuko wa uzazi wa mwanamke aliyekufa ulihamishwa na kupandikizwa kwa mwanamke mwingine.

Kwa mara ya kwanza, madaktari nchini Brazil, wamesema kuwa, mtoto mmoja wa kike mwenye afya, alizaliwa kupitia mfuko wa uzazi ya mwanamke aliyekufa na kisha mfuko huo ukahamishwa na kupandikizwa mwanamke mwingine.

Mada zinazohusiana