Wasichana wamo katika hatari kubwa ya kupatwa na upweke kuwaliko wavulana
Huwezi kusikiliza tena

Wasichana wako katika hatari kubwa ya kupatwa na upweke kuwaliko wavulana

Wasichana wako katika hatari kubwa mno ya kupatwa na upweke kuwaliko wavulana. Hayo ni kwa mjibu wa utafiti kutoka Afisi kuu ya takwimu Uingereza. Je! Unadhani Wasichana katika mtaa unaoishi wamo katika hatari ya kupatwa na upweke kuliko wavulana?

Mada zinazohusiana