Siku moja nitaweka historia ya Tanzania Hollywood
Huwezi kusikiliza tena

Timoth Conrod: Siku moja nitaweka historia ya Tanzania Hollywood

Timoth Conrod Kachumia ni Mtanzania ambaye kwa miaka mingi alikuwa na hamu sana na kuwa mwandaaji wa filamu na video za muziki.

Hakuwa na mafunzo lakini hakufa moyo, alijifunza kupitia mtandao.

Kwa sasa amebobea nahata kuteuliwa kushindania tuzo kadha.

Video: Eagan Salla, BBC

Mada zinazohusiana