Ekennei Njau: Mara ya kwanza kuupanda Mlima Kilimanjaro, niliapa singerudi

Ekennei Njau: Mara ya kwanza kuupanda Mlima Kilimanjaro, niliapa singerudi

Mpagazi Ekennei Njau alianza kuupanda Mlima Kilimanjaro akiwa hana mafunzo sana na baada ya safari ya kwanza nusura akate tamaa, na alikuwa ameapa hangerudi.

Lakini mwishowe hakufa moyo na sasa ameupanda mara zaidi ya 50.

Anasema kazi ya upagazi ni kazi gumu lakini ukiwa mgumu unaiweza, na si kwamba ni kazi ya wanaume pekee – wanawake wanaiweza pia.

Kwa sasa, ndoto yake ni kukwea Mlima Kenya na Mlima Everest.

Video: Eagan Salla, BBC