Uchaguzi DRC 2018: Yanayojiri uchaguzini DR Congo
Habari kuu
Felix Tshisekedi ashinda uchaguzi wa urais DRC
Felix Tshisekedi ameshinda uchaguzi wa urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, tume ya uchaguzi imesema.
Martin Fayulu apinga matokeo ya urais DRC
Martin Fayulu, mgombea urais wa upinzani DRC aliyeibuka wa pili, ameyakataa matokeo yaliyotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi.
Wasifu wa rais DRC Felix Tshisekedi
Felix Tshisekedi, ni mwanawe mwanzilishi wa chama cha UDPS, mwanasiasa wa upinzani wa muda mrefu Etienne Tshisekedi.
Video, Kasri la Mobutu DRC sasa ni mahame, Muda 2,10
Katika mji wa Gbadolite alikotoka, Rais Mobutu Sese Seko alijenga kasri kubwa la kifahari na uwanja wa ndege ambao ndege za kusafirisha bidhaa za anasa kama vile mvinyo ghali kutoka Ulaya zilitua na kupaa.
Video, Kwa nini uchaguzi wa mwaka huu DRC ni muhimu, Muda 1,56
Joseph Kabila ametawala siasa za DR Congo kwa miaka 17 iliyopita. Alichukua hatamu baada ya babake kuuawa na mlinzi wake mwaka 2001.
Video, UN inavyojaribu kudumisha amani mashariki mwa DRC, Muda 1,40
Vita vimekuwepo mashariki mwa nchi hiyo kwa miaka 20 iliyopita. Watu takriban milioni tano wamefariki kutokana na vita hivyo vya wenyewe kwa wenyewe.
Video, Mgombea anayetumia mitandao ya kijamii kufanya kampeni DRC, Muda 1,04
Mgombea ubunge nchini DRC Mubake Kaliba anayetumia mitandao ya kijamii kufanya kampeni kwani hapa pesa za kuweza kumfadhili kufika maeneo mengine na kuandaa mikutano.
Video, Mbilikimo wameendelea kuishi kitamaduni DRC, Muda 2,10
Kwenye kingo za Mto Congo, baadhi ya walioteswa zaidi na kufanyiwa unyama usioelezeka chini ya utawala wa Mfalme Leopold walikuwa ni watu wa jamii ya mbilikimo.
Kanisa Katoliki lasema kuna mshindi wa wazi DRC
Tume ya uchaguzi ilitarajiwa kutangaza matokeo Jumapili lakini wiki hii ilidokeza kuwa huenda ikachelewa kufanya hivyo kwani bado haijapokea matokeo kutoka vituo vingi vya kupigia kura nchini humo.
Wagombea wa upinzani walalamikia dosari uchaguzi DRC
Wagombea wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamelalamikia dosari nyingi wanazosema zilitokea wakati wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumapili.
Vituo vya kupigia kura vimefungwa DRC
Karibu watu milioni 40 wamejiandikisha kupiga kura nchini Jamhuri ya Demokrarsi ya Congo ambapo Rais Joseph Kabila ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 2001 anaondoka
Kwa nini wapiga kura hawaamini mashine za kupigia kura?
DR Congo inatumia mashine za elektroniki kupiga kura kwa mara ya kwanza lakini ni njia iliyo salama?
Majengo ya tume ya uchaguzi DRC yateketea
Moto huo ulizuka mwendo wa saa nane usiku wa manane na kuzua taharuki ikizingatiwa kwamba ni siku 10 zilizosalia kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini humo.
Kabila: Sitowania urais tena
Rais wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Joseph Kabila, amewahakikishia raia wake kwamba ataheshimu katiba ya nchi na kwamba hatawania urais katika Uchaguzi mkuu ujao.
Rais Joseph Kabila amtangaza mrithi wake DR Congo
Sasa ni rasmi kwamba rais Joseph kabila wa DR Congo hatowania tena urais na kwamba chama chake kimemchagua Emmanuel Ramazani Shadari kuwa mrithi wake.
Kwa nini huenda Rais Joseph Kabila akawania urais tena 2023
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila amesema ataendelea kushiriki katika siasa nchini humo hata baada ya kuondoka madarakani baada ya uchaguzi utakaofanyika wiki mbili zijazo.
Video, Vijana DRC wanatarajia nini kutoka kwa rais mpya?, Muda 1,27
Raia nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanatarajiwa kupiga kura Jumapili kumchagua rais mpya na vijana ndio wengi. Je, wana matarajio gani?
Uchaguzi DRC waahirishwa kwa wiki moja
Tume ya uchaguzi nchini DRC CENI imetangaza kuahirisha uchaguzi mkuu uliokuwa umepangiwa kufanyika Jumapili kwa wiki moja.
Mgombea mkuu wa upinzani DRC Martin Fayulu ni nani?
Viongozi wakuu wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo wamemchagua mfanyabiashara maarufu nchini humo Martin Fayulu kama mgombea wao katika kinyang'anyiro cha uraisi
Wafuasi wa chama cha Kabila wachinjwa DRC
Kura ya kumchagua mrithi wa Kabila aliyekaa madarakani kwa mika 17 itafanyika tarehe 23 ya mwezi ujao, Desemba 2018.
Uchaguzi DRC: Upinzani wavunjika vipande
Kiongozi huyo wa chama cha Union for Democracy and Social Progress alitoa tangazo hilo siku moja bada ya makuabaliano hayo kutangazwa.
Sura mpya ya Rais Joseph Kabila
Rais wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Joseph Kabila amesema kuwa atamteua waziri mkuu ndani ya saa 48 zinazokuja
Rais Kabila: Uchaguzi wa DR Congo kufanyika Disemba
Rais Joseph Kabila amepinga ukosoaji unaotekelezwa na jamii ya kimataifa kuhusu kucheleweshwa kwa uchaguzi katika jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Video, 'Ukatili wa asili uliozalisha vurugu DRC', Muda 5,04
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inafaa kuwa miongoni mwa mataifa tajiri zaidi duniani kutokana na utajiri wake wa rasilimali.
Makundi mawili ya upinzani yaliyoibuka uchaguzi DRC
Kiongozi wa chama kikongwe zaidi cha upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amerejea leo nchini humo kuanza kampeni yakutaka kuchaguliwa kuwa rais katika uchaguzi wa mwezi ujao.