Njia za kukabili habari feki mtandaoni
Huwezi kusikiliza tena

Solomon Mugera: Hizi ndizo njia bora za kukabili habari feki mtandaoni

Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.

Mwandishi wa BBC Ayisha Yahya amezungumza na mkuu wa Idara ya Lugha za Afrika katika BBC, Solomon Mugera.

Sehemu ya pili: 'Namna ya kupambana na taarifa za uzushi'

Mada zinazohusiana