Habari Feki: Namna ya kupambana na taarifa za uzushi

Habari Feki: Namna ya kupambana na taarifa za uzushi

Mwandishi Ayisha Yahya anaendelea kuzungumza na mkuu wa Idara ya Lugha za Afrika katika BBC, Solomon Mugera.

Anamwambia siku za mbele vyombo vya habari lazima viwe na uwezo wa kuchuja habari, na waandishi nao wajitahidi kuzichambua kabla ya kuzitangaza.