Mtoto asafiri kukutana na mwanasayansi maarufu

Mtoto asafiri kukutana na mwanasayansi maarufu

Ajay Sawant ni kijana aliye na miaka nane ambaye alienda umbali kukutana na mwanasayansi anayemuenzi Sir Martyn Poliakoff huko Nottingham. Prof Poliakoff,alimuonyesha Ajay jinsi ya kuunda athari tofauti tofauti akitumia barafu iliyoganda.

Je, uko tayari kusafiri umbali upi ili kukutana na mtu unayemuenzi?

Sema nasi kwenye facebook, bbcnewsSwahili.