Sababu ya baadhi ya watu kuwa wenye bahati kila wakati, na wengine mikosi tu

Sababu ya baadhi ya watu kuwa wenye bahati kila wakati, na wengine mikosi tu

Ni kwa nini baadhi ya watu huwa na bahati kuliko watu wengine? Prof Richard Wiseman, Mwanasaikolojia, Chuo Kikuu cha Hertfordshire amebaini kwamba binadamu hufikiria na kutenda kwa njia nne.