Jamii inayoamini kwamba wasichana wanaoenda shule uharibika tabia
Huwezi kusikiliza tena

Jamii inayoamini kwamba wasichana wanaoenda shule huharibika tabia nchini Kenya

Mahari katika jamii ya Turkana inathaminiwa sana. Kutokana na shinikizo la kupeleka watoto shuleni, Jamii hii imeanzisha mtindo mpya wa kumteua msichana mmoja kusalia nyumbani na ambaye ataozwa baadaye kitamaduni ili kuiletea familia yake mahari.

Jamii hii inaamini kuwa, wasichana ambao wanaenda shuleni huharibika kitabia.