Mwizi ajaribu kuiba baiskeli kituo cha polisi Marekani
Huwezi kusikiliza tena

Mwizi ajaribu kuiba baiskeli kituo cha polisi Oregon, Marekani

Wapo watu wenye ujasiri, lakini mwizi huyu ni wa kiwango tofauti. Aliamua kujaribu kuiba baiskeli iliyokuwa imefungwa kwenye kituo cha polisi Gladstone katika jimbo la Oregon, Marekani.

Hata kabla ya sekunde 15 kupita, sajini wa polisi akatokea – ikawa bwana amenaswa na mkono wake kwenye mchuzi.

Unaweza kusoma pia:

Mada zinazohusiana