Vitambulisho vya machinga vitabadilisha mambo Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Haba na Haba: Machinga kupewa vitambulisho kutabadilisha mambo Tanzania?

Machinga wemekuwepo nchini Tanzania kwa miaka mingi. Desemba mwaka jana, Rais John Pombe Magufuli alizindua vitambulisho 670,000 vya kukabidhiwa kwa wakuu wa mikoa kwa ajili ya matumizi ya wajasiriamali wadogo wadogo (machinga) katika mikoa yote ya Tanzania bara.

Mwaka 2016 alikuwa ameamuru machinga wasisumbuliwe.

Katika Haba na Haba wiki hii, tunauliza, Je, vitambulisho hivyo vya wamachinga vitawafaa?

Mada zinazohusiana