Mcheza Sarakasi kutoka Nigeria aota rekodi ya Guinness
Huwezi kusikiliza tena

Mcheza Sarakasi kutoka Nigeria aota rekodi ya Guinness

Mcheza sarakasi kutoka Nigeria afahamikaye kwa jina la Murphy amejifunza mwenyewe sanaa ya sarakasi za mikunjo ya kustaajabisha. Kijana huyo amekuwa akipata mafunzo kupitia mtandao wa intaneti na anataka kusambaza ujuzi na maarifa yake kwa wengine.

Akipigiwa chapuo na shabiki wake nambari moja ambaye ni mama yake, mcheza sarakasi huyo ana ndoto za kujikunja mpaka apate nafasi katika Kitabu cha Rekodi za Dunia cha Guiness.

Mada zinazohusiana