Mwanamume anayefuga mamba 40 nyumbani kwake Burundi

Mwanamume anayefuga mamba 40 nyumbani kwake Burundi

Ngendera Albert alipogundua kuwa mamba wanauawa na kufanywa kitoweo nchini Burundi, aliamua kuchukua hatua ya kuwalinda wanyama hao. Alianza kwa kununua mamba 12 na kuwahifadhi kwake Gatumba lakini sasa idadi yao inakaribia kufika 45.