Helikopta yatua kiajabu milimani kumuokoa mtu
Huwezi kusikiliza tena

Rubani aliatumia mbinu inayofahamika kama "skate support"

Tazama jinsi helikopta ilivyotua kwa njia ya kushangaza katika milima ya Alps nchini Ufaransa kumuokoa mteleza barafu aliyekuwa ameumia goti. Rubani wa helikopta hiyo alisema kuwa waliamua kutumia mbinu inayofahamika kama "skate support" ambapo alitua juu ya ubao wa kuteleza kwenye barafu,kutokana na hali mbaya waliyokumbana nayo wakati wa oparesheni hiyo iliyofanyika tarehe mbili mwezi Januari.

Mada zinazohusiana