Kizungumkuti cha kujaliwa watoto wenye jinsia mbili
Huwezi kusikiliza tena

Kizungumkuti cha kujaliwa watoto wenye jinsia mbili, watoto wanafaa kufanyiwa upasuaji?

Kwa miaka mingi, watoto waliozaliwa na sehemu za siri za jinsia zote mbili, kwa kimombo intersex wamekuwa wakifanyiwa upasuaji wakiwa bado wadogo, na wakati mwingine siku chache tu baada kuzaliwa.

Katika mataifa mengi, huwa hakuna sera ya kuongoza uamuzi huu na wazazi na watoto huwa hawana ufahamu kuhusu ni hatua gani bora ya kuchukua.

Mwanahabari wetu Judith Wambare alizuru nchi ya Kenya na Marekani na kuzungumza na familia zilizo na watoto hawa.

Unaweza kusoma pia: