Kwa Picha: Shambulio la 14 Riverside Hoteli ya DusitD2 Nairobi Kenya

Mashuhuda wanasema waliwaona watu wanne wenye silaha wakiingia kwenye viunga hivyo.

Maelezo ya picha,

Baadhi ya waliojeruhiwa katika shambulio hilo

Maelezo ya picha,

Majeruhi wafanyiwa huduma ya kwanza ya matibabu

Maelezo ya picha,

Baadhi ya maafisa wa polisi wakishirikiana na wanahabari wajaribu kuwaokoa manusura

Maelezo ya picha,

Maafisa wa polisi wakijiandaa kuwakabili washukiwa katika hoteli ya Dusit

Maelezo ya picha,

Baadhi ya watu waliokuwa ndani ya Hoteli hiyo wakisaidiwa kutoka nje na maafisa wa Polisi

Maelezo ya picha,

Maafisa wa usalama waingia ndani ya hoteli ya Dusit kukabiliana na washukiwa wa shambulio

Maelezo ya picha,

Afisa wa polisi akisimama karibu na mojawapo ya gari lililodaiwa kumilikiwa na washukiwa wa shambulio

Maelezo ya picha,

Magari yashika moto wakati wa shambulio la Hoteli ya kifahari ya Dusit D2 iliopo katika eneo la Riverside jijini Nairobi.

Maelezo ya picha,

Maafisa wa polisi walipofika katika hoteli ya Dusit Jijini Nairobi

Maelezo ya picha,

Baadhi ya magari yashika moto kufuatia shambulio la Dusit