Mwanafunzi aliyekamatwa kwa kushukiwa kuwa gaidi Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Bryson Mwamburi: Simulizi ya aliyedhaniwa kuwa ni gaidi katika shambulio Kenya

Bryson Mwamburi ni muathiriwa wa shambulizi la kigaidi lililotekelezwa katika hoteli ya Dusit siku ya Jumanne jijini Nairobi. Hata baada ya kuepuka kufyatuliwa risasi na mshambuliaji mmoja, alikamatwa na maafisa wa polisi kama mshukiwa. Je nini kilichofuatia?

Mada zinazohusiana