Operesheni ya siri kuwaokoa wanawake wa Korea kaskazini watumwa wa ngono China

Operesheni ya siri kuwaokoa wanawake wa Korea kaskazini watumwa wa ngono China

BBC Imemfuata mchungaji wa Korea kusini katika operesheni yake ya siri kuwaokoa wanawake wawili watumwa wa ngono. Mara nyingi wanawake husafirishwa kutoka Korea kaskazini hadi China na kulazimishwa kufanya kazi katika biashara ya ngono katika mtandao.