Walemavu Kenya wapambana na unyanyapaa na kudhihirisha wanaweza

Walemavu Kenya wapambana na unyanyapaa na kudhihirisha wanaweza

Kwa miaka mingi walemavu wamekuwa wakidhalilishwa na kutengwa katika shughli mbalimbali za kila siku. Kampeni sasa dhidi ya unyanyapaa kwa watu walio na ulemavu imechangia pakubwa katika kuwawezesha watu wenye ulemavu kupata elimu na pia kuonyesha talanta zao. Jijini Nairobi Walemavu wameukabili unyanyapaa kwa kujitosa katika uwanamitindo.