Rwanda yazindua teknolojia ya kutungisha mimba katika maabara
Huwezi kusikiliza tena

Huduma hiyo sasa inatolewa katika hospitali tatu nchini humo

Rwanda imeanzisha Maabara kubwa na ya kisasa ambayo inatumia teknolojia ya kutungisha mimba. Serikali ya Rwanda imesema kwamba tangu kuanzishwa mpango huo wa kusaidia waliokosa uzazi,gharama na idadi ya wanaokwenda kujaribu kupata uzazi katika nchi zilizoendelea imepungua, Rwanda sasa ina hospitali tatu zinazoweza kutoa huduma hiyo.

Mada zinazohusiana