Angel Princess ana ulemavu wa akili na kutembea lakini ulemavu huo haujamzuia kutambua na kukuza kipaji chake cha uimbaji. Alipokuwa na mwaka mmoja, mamake aligundua kwamba anapenda nyimbo kwa kuwa wakati wowote alipokuwa akilia, angenyamaza punde tu aliposikia wimbo. Faith Sudi alikutana naye katika mji mkuu wa Kenya Nairobi

Huwezi kusikiliza tena