Kwa picha, mkasa wa bwawa Brazil

Bwawa la maji limevunja kingo zake kusini mashariki mwa Brazil na kusababisha mauti na uharibifu mkubwa baada ya maji yaliyochanganyikana na matope kusomba kila kitu ikiwemo barabara na nyumba za watu

Manusura wamekua wakiokolewa kwa kutumia ndege aina ya helikopta Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Watu wengi wanahofiwa kufariki baada ya bwala la maji kuvunja kingo zake kusini mashariki mwa Brazil.
Gari yalisombwa na maji Haki miliki ya picha EPA
Image caption Gari yalisombwa na maji
Aerial view of the burst dam Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Maji yaliyochanganyikana na matope yalisomba mkahawa wa chakula uliyokuwa na mamia ya wafanyikaziworkers were eating
Aerial view taken after the collapse of a dam which belonged to Brazil's giant mining company Vale Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Bwawa hilo linamilikiwa na kampuni kubwa ya kuchimba madini ya Vale nchini Brazil
Rescuers work in the search for victims after the collapse of a dam Haki miliki ya picha AFP
Image caption Maafisa wa uokozi wakijaribu kutafuta manusura wa mkasa huo
General view from above of a dam owned by Brazilian miner Vale SA that burst, in Brumadinho, Brazil Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Maafisa wanahofia maji hayo yanaweza kufikia watu wanaoishi karibu namji wa Brumadinho
General view from above of the burst dam Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Rais Jair Bolsonaro pamoja na maafisa wengine wakuu serikalini wanatarajiwa kuzuru eneo la mkasa
A general view on damage caused by the breakage of a dam containing mineral waste from Vale Haki miliki ya picha EPA
Image caption Makasa huu unakuja miaka mitatu baada ya mwingine kama huo uliyotajwa kuwa janga la kimazingira kutokea jimbo la Minas Gerais, na kuwaua watu 19

Picha zote zinahaki miliki kama zilivyonakiliwa.

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii