Summeiya Mohamed: Mwanamke anayefanya kazi ya Useremala Mombasa

Summeiya Mohamed: Mwanamke anayefanya kazi ya Useremala Mombasa

''Kazi ni kazi'', huu ndio ujumbe wa mwanamke kutoka mjini Mombasa anayefanya kazi ya Useremala.

Licha ya kumiliki shahada ya usimamizi wa biashara, Summeiyah Mohamed ni mwanamke aliyepinga dhana potofu dhidi ya wanawake na kuamua kufanya kazi ya useremala. Anawashauri wanawake wenzake kutobagua kazi.

Taarifa: Seif Abdalla

Video: Seif Abdalla