Mwanamume ambeba mwanasesere kila asafiripo
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamume ambeba mwanasesere kila asafiripo

Mwanamume mwenye umri wa miaka 43 amekuwa akisafiri na mwanasesere wake aliyetengenezewa na mwanawe ili kumsaidia anapo safiri angani. James Grashow ni muoga na humshikia doli huyo hadi mwisho wa safari yake.

Mada zinazohusiana