Watoto sita wauawa na viungo vyao kunyofolewa Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Watoto sita wauawa na viungo vyao kunyofolewa Tanzania

Watoto sita, wakiwemo watatu wa familia moja wenye umri chini ya miaka 10 wamepatwa wakiwa wamefariki katika mazingira ya kutatanisha, ikiwemo imani za kishirikina katika mkoa wa Njombe nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa mkuu wa wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri, mtu mmoja amekamatwa kuhusika na baadhi ya mauaji hayo.

Taarifa zaidi na Halima Nyanza

Mada zinazohusiana